Karama

Utume wa pekee wa Shirika ndani ya Kanisa ni :

„Kumtangaza  Kristo, Upendo wa Moyo wake, kwa njia ya malezi na elimu kwa watoto na vijana, huduma kwa ndugu walio wahitaji sana na wanaodhulumiwa na pia kwa njia  ya amali nyingine katika uwanja wa mahubiri ya Injili kwa ulimwengu” ( Katiba 1987)
“Mursula wa Moyo wa Yesu Mteswa anawajibika  na anapenda kujitolea  kwa  maskini”.

( Katiba 1930)