Waursula ulimwenguni

Tunafanya utume katika maeneo yapy?

Kwa sasa wa-ursula wanafanya utume katika mabara tano:

missioni-nel-mondo2

Ulaya: Tuko katika Nchi ya Poland, Ufaransa, Italia, Finland , Ujermani, Urusi,  Bielorusi, Ukraina

Amerika ya Kusini: Tuko katika Nchi ya Arjentina, Brazil, Bolivia

Amerika ya Kaskasini: Tuko katika Nchi ya Kanada

Afrika : Tuko katika Nchi ya Tanzania

Asia : Tuko katika Nchi ya Filipin