Njoo uone

Ilikuwa siku kama nyingine wakati nilipokuwa na tamaa ya kukuuliza:
  • Je, Bwana unaishi wapi?

Njoo uone 1

 

 

 

 

 

 

 

  • Njoo uone! wewe unanitafuta? Njoo kwangu na utaweza kuona mahali ninapoishi.”

Njoo uone 2

 

“Utakutana nami katika ukimya, utaweza kuongea nami,
uso kwa uso kwa njia ya sala.”

 

 

 

 

 

  • Nakusubiri, njoo! Nawe utaweza kutambua maana ya kweli ya maisha yako ambayo wewe unatamani kuyapata”.
Jumuiya ya masista Wa-ursula wa Mkiwa inakusubiri…
Njoo uone 3

 

 

 

 

 

 

Njoo uone!…